KIF ENTERPRISES

KIF ENTERPRISES
MBEZI BEACH , DAR ES SALAAM

Thursday, May 2, 2013

JIDE, GARDNER WALALA SEBULENI

Na Mwandishi Wetu

MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ na mumewe, Gardner G. Habashi wameonekana wakilala na kuamkia sebuleni.
Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ na mumewe, Gardner G. Habashi.
Tukio hilo lililozua maswali mengi kwa mashabiki wa familia hiyo ya mastaa, limetokea hivi karibuni kupitia Kipindi cha Diary ambacho kinaonesha maisha halisi ya mastaa hao katika Runinga ya East Africa.

Wawili hao walionekana wakiwa wamelala katika sofa tofauti, sebuleni na ilipofika asubuhi waliamka na Gardner akaagiza nyama kwa jamaa aliyemtaja kwa jina la…
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ na mumewe, Gardner G. Habashi wameonekana wakilala na kuamkia sebuleni.
Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ na mumewe, Gardner G. Habashi.
Tukio hilo lililozua maswali mengi kwa mashabiki wa familia hiyo ya mastaa, limetokea hivi karibuni kupitia Kipindi cha Diary ambacho kinaonesha maisha halisi ya mastaa hao katika Runinga ya East Africa.
Wawili hao walionekana wakiwa wamelala katika sofa tofauti, sebuleni na ilipofika asubuhi waliamka na Gardner akaagiza nyama kwa jamaa aliyemtaja kwa jina la Juma.
“Mh! Kumbe huwa hawalali pamoja, nimeona kipindi kinachoonesha maisha yao halisi kila mmoja anaamka katika sofa lake tehetehetehe,” alihoji mkazi mmoja wa Dar aliyeomba hifadhi ya jina lake.Chanzo:www.globalpublishers.info

No comments: