KIF ENTERPRISES

KIF ENTERPRISES
MBEZI BEACH , DAR ES SALAAM

Tuesday, February 5, 2013

NIKKI MBISHI SASA KAMCHANA NEY WAMITEGO


 
  Wakati wakiachia ngoma yao mpya "Kill yourself", God Zilla, Nikki Mbishi na Cliff Mitindo kutoka kwenye mixtape isiyo na jina mpaka sasa, Nikki mbishi amegusia pia kuhusiana na ngoma ambayo ameshaitengeneza aliyoipa jina la Ney wa Mitego. Kuna nyimbo inayofata sasa ambayo iko tayari, inaitwa Ney wa Mitego, lakini haina uhusiano wowote na msanii Ney wa mitego kutoka manzese, yaani hapa...Read More

No comments: