Baada ya Ant Ezekiel kuonyesha nyeti zake jukwaani katika tamasha la
fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro katika
tamasha hili hilo la fiesta katika viwanja vya jamhuri.Msanii wa
filamu Wema sepetu alionekana amevaa nguo fupi ambayo si ya heshima na
hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo
unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi
zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali
lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.Chanzo:Pro24.blogspot.com
No comments:
Post a Comment