Sunday, July 8, 2012

WEMA ,WOLPER WAMETOKA SURUHU...

Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwenye Tamasha la Matumaini.Dj-ku.blogspot.com

Mwamuzi akiamua mpambano uanze...
 
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe...
 
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.

KABLA YA PAMBANO
 
Wema akijifua.
Wolper.

No comments: