Wednesday, July 4, 2012

HAYA MAMBO NIMEKUWA NAYASIKIA TU, KUMBE NI KWELI !

 

Elimu bado hajatolewa vya kutosha, sasa , tuende huko vijini na Laptop zetu , wanavijiji wakusanywe , tutoe somo kibingwa.
  

2 comments:

Anonymous said...

Inaniuma sana kuona kitoto kama hiki kinakeketwa!Na jinsi mikono ya mangariba inavyoonekana watakuwa watu wa Mara tuu.Pole sana binti kwa masahibu yaliyokukuta mungu atakusaidia maishani.

Anonymous said...

Wewe acha2 ndugu yangu hao cjui ni Wamasai?!