WaTanzania imefikia mda sasa tuanze kuheshimu maisha wanaochagua kuishi wenzetu...akiacha urembo akaanza kuishi kama ulivyoambiwa wewe na wazazi wako huko kua ndo njia sahihi kuhishi akaisha chati akafulia utampa wewe maisha!?.Wote tunajua utaanza story za kumcheka kafulia. So acheni vitu personal viwe personal!.
8 comments:
Yan amekuwa mbaya sana.ukichek magot meusi jaman akiumia kupona ni kazi.
Mti wenye matunda.....yaani ww umemuona wema'tu? Wengine huwaoni? Af jambo la kujichubu ni jambo binafsi,mbona mnakuwa wa_mbeya?!
Muachen apumue jaman kila siku yeye?
Tena wamkome wema wa sepetu kawa kama mswak midomon mwao! Angalien yenu na familia zenu
Wema wa ukwel, she z endless
true mwacheni mtu afanye anachotaka this is a free world look after what concern u,big up mwanadada coz u do what u want
WaTanzania imefikia mda sasa tuanze kuheshimu maisha wanaochagua kuishi wenzetu...akiacha urembo akaanza kuishi kama ulivyoambiwa wewe na wazazi wako huko kua ndo njia sahihi kuhishi akaisha chati akafulia utampa wewe maisha!?.Wote tunajua utaanza story za kumcheka kafulia. So acheni vitu personal viwe personal!.
Na mpambe wako maimartha mbona humsemi?wuvu tu
Post a Comment