
Wema Sepetu akipozi kwa picha kabla ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya Super Star uliofanyika jana kwenye hoteli ya Kilimanjaro

Wacheza filamu maarufu, Rich na Ray nao pia walikuwepo kupambana uzinduzi wa filamu hiyo

Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda. Nao walikuwepo kupamba uzinduzi huo

Mcheza
filamu nyota wa Nigeria, Omotola Jalade akiwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Dar es Salaam kwa ajili ya kupamba uzinduzi wa filamu hiyo.

Wema
Sepetu akiwa ameshikana mkono na Omotola Jalade mara baada ya Mnigeria
huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dar es Salaam.

Mwanamitindo wa Tanzania, Miriam Odemba akiwa amepozi na mcheza filamu nyota wa Nigeria, Omotola Jalade.

Wema akila pozi la picha na Omotola Jalade kwenye uwanja wa ndege wa Dar es Salaam.
(Picha zote kwa hisani ya blogu ya Shaffih Dauda)
1 comment:
Miriam luks more super dan er.....
Post a Comment