Sasa
anaweza kucheka kwani Sajuki hali yake inaendelea vizuri kabisa baada
ya matibabu na oparesheni aliyofanyiwa huko nchini India.Ukimuona sio
Sajuki yule aliyeondoka na hali mbaya mabadiliko yapo kiukweli.
Bado tunamuombea apone kabisa na kurejea katika afya yake kwa 100%.Kwa habari zaidi zamahttp://www.dinamarios.blogspot.com/

2 comments:
Uko serious? Mtu kafariki na keshazikwa na hii ndo habari unatuwekea?
kwenda zako we umeambiwa picha ni kabla hajafa unaonekana huna akili
Post a Comment