Tuesday, June 19, 2012

KUMBE WEMA MZUSHI, MMILIKI WA NYUMBA YA WEMA SEPETU HUYU... HAPA



Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.
“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brazil kibiashara” kilisema chanzo hicho.
Endelea kufuatilia taarifa hiii hapa differentsourcestz na Teentz.com kwani Soon tutakudondoshea picha za mmiliki huyo wa nyumba ambayo wema anadai ni mali yake.
……………………………………Stori na Dismas Ten………………………………
source:teentz

2 comments:

Anonymous said...

mnatapatapa sababu hamuamini, kwa hiyo mtu akiuza nyumba lazima atangaze? huyo rafiki anatafuta kuwa famous kupitia wema, haya mmemuona waandishi mpigeni na picha.

Anonymous said...

its true,we Tanzanians dont like seeing something good comes out of others,even if da house is sm one else are u paid for sayn those stinkn words?