
Wema
Sepetu Akiingia Ndani kwaajili ya Kutoa Pole kwa Ndugu,jamaa na
Marafiki waliofika Katika Msiba huo nyumbani kwake sinza vatican

Mbunge
Wa Jimbo La Ubungo(CHADEMA) Mh John Mnyika akibadilishana mawazo na
Mmoja wa Ndugu wa Marehemu Steven Kanumba katika Msiba uliopo Nyumbani
Kwake Sinza Vatican Mida hii
Msanii
Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Monalisa (aliyeinamisha kichwa
chini) akiwa analia kwa uchungu wa kumpoteza msanii mwenzao
Wema
Sepetu Akiongea na mmoja wa Wasanii Wa Maigizo katika katika eneo la
Msiba mida hii katika Eneo la Sinza Vatican Nyumbani kwa Marehemu
Mwigizaji
Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Natasha (Mama Monalisa) akiingia
huku akilia kwa uchungu katika eneo la msiba ambao upo nyumbani kwa
marehemu sinza vatican.

Mwenyekiti
Wa Kamati ya utendaji Katika Msiba Wa MArehemu Steven Kanumba Mh Erick
Shigongo(Mwenye shati la Draft) akibadilishana mawazo na Baadhi ya
Jamaa katika Msiba wa marehemu Steven Kanumba uliopo Nyumbani Kwa
Marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican.
Baadhi ya Wakina Mama waliojitokeza katika Msiba wa Marehemu Steven Kanumba Uliopo nyumbani kwake Sinza Vatican

Baadhi
ya wakazi wa jiji la dar wakiwa wameketi huku wakisubiri ratiba za
msiba unaoendelea nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican
Mida hii
Wananchi Wakiwa Upande wa pili wa barabara mbele ya nyumba ya marehemu Steven Kanumba Maeneo Ya Sinza
Baadhi
ya Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamesimama mbele ya geti la kuingilia
nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican mida hii
Wakina Dada wakiwa nje ya Nyumba ya Marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican Mida hii ambapo msiba upo.Kwa Habari zaidi bofya na Endeleea>>>>>
1 comment:
R.I.P kanumba
Post a Comment