nikamwambia na PS 38 size Wema
![]() |
| kudadaaaaaaadeki Gold uuuh Wema usirudi bongo |
![]() |
| chumbani kwake just her alone |
kama
nilivyosema bahati ya mwenzio,usilalie mlango wazi,aiseee kumbe bwana
mdogo (Diamond)alikuwa anabana some potentials?????????????????
wema yupo DXB ki matembezi na shopping zaidi
nashukuru sana Wema kwa kuipa PS News,nashukuru kwa picha na ushirikiano wako
stay well in DXB.Chanzo:http://www.prettysintah.blogspot.com/



1 comment:
for sure your so beautiful lakini stop bleaching your self gal sio ishu kumbuka mwisho wasiku uso utakushuka uwe kama ki bibi cha miaka 70 yrsssssssssssss. na kupa Big up kwa kuachana na Diamond coz he was not your type baana!!! hakuwa presantable huo mdomo ndo ulikuchangaya au? please Tulia Halafu utapata some who fits you.
Post a Comment