KIF ENTERPRISES

KIF ENTERPRISES
MBEZI BEACH , DAR ES SALAAM

Thursday, December 30, 2010

MAMBO YA TEDDDZZZ UNISEX SALOON USIPIME
Wadau mambo vipi hasa kwa wale wanaopenda mambo ya kusuka, pichani sijavaa WIG bali ni nywele yaani ni Weaving nimesukwa kisha nikakatwa kwa ustadi na mtaalamu wa kusuka mitindo yote ya nywele na kukata Style kem kem, pia unaweza kuchagua mitindo mwenyewe na kupewa ushauri pia unapatiwa usukwe katika mtindo gani msusi huyu anapatikana katika TEDDDZZZ UNISEX SALOON iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam kituo njia panda jirani na Jengo la 88.4 The Peolples Station Clouds Radio & TV.
Kama hiyo haitoshi mali mpya zimewasili katika maduka ya nguo ya TEDDDZZZZ katika jengo la Mkapa Tower Posta na Namanga.Karibuni sana.
Chanzo ni www.bongoweekend.blogspot.com

No comments: