Wednesday, June 10, 2009

NI MISUKOSUKO PART 3


Jimmy Mponda a.k.a Jimmy Master ambaye ni Mkurugenzi wa Mzimuni Theatre Arts , anakuja na filamu mpya inayoitwa Misukosuko Part 3 ambayo anaamini itafanya vema sokoni kutokana na ubora iliyonayo.
"Kwenye filamu hiyo kuna miondoko ya aina tofauti tofauti na madude mengine unaweza kudhani ni ya ukweli , hiyo ni moja ya sababu inayonifanya niamini kuwa filamu hiyo itapeta tu huko sokoni."Alisema Jimmy Master .
Kwenye picha hiyo wamecheza jamaa kibao akiwemo Charles Magari , Gilbert Sindani , Mohamed Mbwana Jimmy Mponda na wengine, muda wowote filamu hiyo itakuwa kwenye soko .


No comments: